Haki ya mwajiriwa kuvunja mkataba wa majaribio ya utendakazi wake bila ilani yoyote au ilani ya muda mfupi.

Mwajiriwa ana haki ya kuvunja mkataba wa majaribio ya utendakazi wake bila ilani yoyote au kwa ilani ya muda mfupi . Sehemu ya 41 ya sheria ya ajira  inaeleza kuwa  mwajiri kabla ya kumfuta kabisa mwajiriwa wake ampe ilani  kwa njia ya maandishi kuhusu uamuzi huo na pia atenge muda wa kumsikliza mwajiriwa huyo. Hata … Continue reading Haki ya mwajiriwa kuvunja mkataba wa majaribio ya utendakazi wake bila ilani yoyote au ilani ya muda mfupi.

Haki ya mwajiriwa wa kiume kupewa likizo fupi ya uzazi.

Kila mwajiriwa ana haki ya kupewa likizo fupi mtoto anapozaliwa kwa familia yake. Sheria ya ajira kwa mujibu wa sehemu ya (28) (8) inawaruhusu wanokuwa wazazi (baba) kupewa likizo ya majuma mawili bila ya ujira wao kupunguzwa. Mahakama ilibaini kuwa sheria haijazingatia utaratibu unofaa kutumika katika kutuma ombi la likizo hii. Kesi ya HamisiMadzungu  dhidi  … Continue reading Haki ya mwajiriwa wa kiume kupewa likizo fupi ya uzazi.

Right of employer to terminate a probationary contract on short notice or without notice.

An employer has the right to terminate a probationary contract without notice or on a short notice. Section 41 of the Employment Act provides that an employer before summarily dismissing an employee, to give such an employee a written notice with reason for his termination and afford him a hearing. However, section 42 which governs … Continue reading Right of employer to terminate a probationary contract on short notice or without notice.

A father’s right to paternity leave

Fathers have a right to Paternity Leave. The Employment Act under section 28(8) allows new fathers paternity leave of two weeks with full pay. The court noted however, that the act was silent on the procedure for application for paternity leave. HamisiMadzungu v Pride Inn Hotels & Investment Limited (2017) eklrhttp://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/137836

Miungano ya wafanyikazi ya mwajiri na mwajiriwa ina haki ya kuingia katika majadiliano ya pamoja kuhusu utendakazi wao.

Miungano ya wafanyikazi ya mwajiri na mwajiriwa ina haki ya kuingia katika majadiliano ya pamoja kuhusu utendakazi wao. Kifungu cha 41(5) cha katiba kinaeleza kuwa kila muungano wa wafanyikazi una haki ya  kuingia katika majadiliano ya pamoja  na waajiri wao ili kulinda haki za wafanyikazi. Katika kesi ya kampuni ya usambazaji wa nguvu za umeme … Continue reading Miungano ya wafanyikazi ya mwajiri na mwajiriwa ina haki ya kuingia katika majadiliano ya pamoja kuhusu utendakazi wao.

Mwajiriwa ana haki ya kutowekwa kwenye majaribio ya kutathmini utendakazi wake kwa muda zaidi ya miezi sita kwa kipindi kimoja.

Mkataba wako wa kazi haupaswi kuweka muda wako wa majaribio ya utendakzi wako kwa muda wa zaidi ya miezi sita, hata hivyo muda huu unaweza kuongezwa na kufikia mwaka mmoja iwapo mwajiriwa atashauriwa na kuridhia (sehemu ya 42, kijisehemu cha 2) muda huu wa majaribio haupaswi kuendelea kwa zaidi yam waka mmoja. (sehemu ya 43 … Continue reading Mwajiriwa ana haki ya kutowekwa kwenye majaribio ya kutathmini utendakazi wake kwa muda zaidi ya miezi sita kwa kipindi kimoja.