Waajiriwa wa kawaida wa haki ya kuhakikisha kuwa ajira zao zmewekwa kwenye mkataba iwapo kazi ambayo inafaa kufanywa  itachukua muda wa Zaidi ya mwezi mmoja. Sehemu ya 37 ya sheria ya ajira inaeleza kuwa ajira kwa njia ya maelewano ya kawaida  itabadilika moja kwa moja na kuwa ya mkataba iwapo mfanyikazi atafanya kazi hiyo kwa zaidi ya mwezi mmoja ama jumla ya siku alizofanya kazi zikiungwa zitatosha kuwa mwezi ama iwapo kazi ambayo anastahili kuifanya inatarajiwa kufanyika kwa muda unaozidi mwezi mmoja  na kwa sababu hiyo mfnyikazi huyu ana haki ya kufurahia yote yanayofurahiwa na wafanyikazi wenye mikataba. Katika kesi ya Krystalline Salt limited dhidi ya Kwekwe Mwakele na wengine 67 (2017) e KLR. Kwa mujibu ya sehemu ya 37 ya sheria ya ajira, mahakama ina uwezo wa kubadililisha vigezo vinavyozingatiwa katika ajira na kuamua kuwa maajiriwa wameajiriwa kwa vigezo vinavyooana na sheria ya ajiara.
Katika kesi hii  mlalamishi alitenda kazi kwa siku mfululizo , jumla ya siku alizofanya kazi zilikuwa ni zaidi ya siku 30 na kwa mujibu wa sehemu ya 37(1) alikuwa ameanza kulindwa na sheria  sehemu ya 35(1) inayomlinda kutokana na kufutwa kazi. Chini ya sehemu ya 31(1) (c) mwajiriwa hawezi akaachishwa kazi bila kupokezwa ilani ya siku 28. Katika muktadha huu  mlalamishi alizuiliwa na mahakama  kutokana na kuchukua hatua ya kumfuta mshatakiwa bila kumpa ilani ya siku 28 kwa njia ya maandishi. http://kenyalaw.org/caselaw/cases/view/132633/

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s