Haki ya kutarajia umakini na uangalifu pamoja na matumizi ya maarifa kutoka kwa waajiriwa.

Sheria katika ukawaida wake, inaelekeza kuwa ni wajibu wa kila mwajiriwa kutumia maarifa na kuwa waangalifu wakiwa kazini. Mmwajiri anaweza kumwekea gharama mwajiriwa ambaye kwa kutokuwa mwangalifu anasababisha uharibifu ama hasara kazini. Katika kesi ya  Benki ya Janeta dhidi ya Ahmed (1981) benki hiyo ilimshtaki mkurugenzi wake kwa kuruhusu mkopo usiofaa. Mahakama ilipompata na kosa hilo ilishikilia kuwa alikuwa amekosa kuwajibika kwa kutokuwa makini na kutotumia maarifa yake inavyotakikana. Rejelea tovuti:https://app.croneri.co.uk/law-and-guidance/case-reports/janata-bank-v-ahmed-1981-irlr-457-ca?product=132

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s